Thursday, January 28, 2010

MISRI VS ALGERIA NI AIBU KWA REFA

Ki ukweli jana nimekasirika sana sio kwa misri kushinda bali kwa maamuzi mabovu ya refa wa mechi ya jana,hivi kwanini marefa wetu wa kiafrika wanatumia sana hasira kutoa maamuzi rather than busara???unawezaje kutoa Red card in the first half of the critical match kama ya misri Vs Algeria....hebu ona ule upigaji wa penati yaani its very dispointing to see the referee makes the algeria team frustrated...Kweli maamuzi kama haya ya kujinga huwa yanafanya mtu usipende kuangalia soka la Afrika kabisa,namkumbuka sana Sir Dr Perrugi Collina maana he is smart and he always think before making a decision in the football match...Misri walipania kushinda na refa aliamua kuwapa ushindi na kwa staili hii tuna safari ndefu kuweza kufikia ubora wa soka la kimataifa.

3 comments:

Unknown said...

Aaa bwana acha ushabiki wewe. Sasal ulitegemea refa afanye nini kwa faulo kama zile!
Angeacha bila kutoa kadi si ndio angeharibu mchezo mapema kabisa.
Mimi naona refa alikuwa na busara sana maana hata hakutaka kumpa kadi mchezaji aliyempiga refa kichwa. alitumia busara tu ili asiharibu mchezo. Sasa kama waAlgeria wanacheza rafu za kijinga kabisa afanyeje? awapendelee? Acha porojo, toa hoja - kwanini unaona refa hakustahili kutoa zile kadi?

niwael said...

mmh kwa kweli hata mm nisiye mpinzi wa mpira ila refe alianza kuuharibu mchezo.kisheria hairuhusiwi kupiga chenga wakati wa penati.na alipozidi kutoa card nyekundu nyingi,