Tuesday, November 10, 2009
HIKI NDIO KILICHOMPONZA ELIZABETH IN BBA


Elizabeth Gupta alikuwa na nafasi kubwa sana katika shindano la BBA until last weeek alipoanza maneno yake ya kibaguzi...kuna wakati mmoja alinukuliwa akisema eti yeye anawapenda wanaume wazungu na wahindi...this comment makes most of africans vote her out of the house...its true that alikuwa na mvuto sana hasa pale alipoanza ukaribu na kijana wa naija Kelvin but that issue of last pia alianza mbwembwe na kijisia mara boyfriend wake yupo abroad,mara boifriend wake ni smart sana,sababu nyingine kubwa ambayo imehusishwa na ubaguzi ni pale alipompigia kura ya kumtoa pacha wake Edward kwenye jumba bila sababu ya msingi,alipoulizwa na Big brother alijibu kwamba hampendi tu...these are some reasons which makes africans vote her out of the house.
Anyway its a game Liz,enjoy your Life....
Wednesday, November 04, 2009
GARI HII INAUZWA!!!
Monday, October 26, 2009
Sunday, October 25, 2009
YANGA AFRICA YAILAZA MORO UNITED
VODACOM YAJA NA PROMOTION YA CHEKA TIME
DAVID NGOG SCORES IN 90 MINUTES...

MANCHESTER UNITED 0 LIVERPOOL 2
CHECK OUT THE PROFILE OF THE BOY WHO MAKE MANCHESTER FANS GO TO HELL IN THIS SUNDAY.
Striker David Ngog arrived from Paris Saint Germain for a fee of £1.5million in the summer of 2008.
Despite only scoring one goal in 18 league appearances for PSG during the 2007/08 season he has been described as one French football's hottest young talents.
The quick striker has been prolific in the French U19s, and below, and scored a couple of goals during pre-season for Liverpool.
Ngog is the cousin of France defender Jean-Alain Boumsong.
TORRES SCORES A GOAL IN 65 MINUTES
MAN UTD & LIVERPOOL WAR...THIS SUNDAY
Five-star Chelsea hammer Rovers
Thursday, October 22, 2009
MPINZANI WA FALLY IPUPA KUJA BONGO NOVEMBA

MWANAMUZIKI mahiri wa Kongo, Ferre Gola Bataringe anatarajiwa kuwasili nchini mwezi ujao kwa onyesho moja la muziki litakalofanyika mjini Dar es Salaam.
Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano, Udhamini na Matukio wa kampuni ya New Habari (2006) Limited, Petter Mwendapole alisema mjini Dar es Salaam jana kwamba mwanamuziki huyo atambatana na kundi la wanamuziki 17.
“Ferre atakuwepo hapa mwezi ujao kwa onyesho moja la muziki baada ya hapo atakwenda Burundi na Rwanda kwa ajili ya onyesho moja moja katika nchi hizo,” alisema.
Mwendapole alisema maonyesho ya Rwanda na Burundi yatakuwa maalum kwa ajili ya kuzindua uuzaji wa tiketi za bahati nasibu ya shindano la Miss East Africa.
Katika msafara huo pia watakuwepo wanenguaji wa kike watano ambao ni Sabena wa Kayembe, Vick Moleka, Nancy Mbemba, Renate Kunga na Patricia Isako.
‘Kuhusu tarehe ya onyesho na wapi onyesho litafanyika, tutatangaza siku ambayo tunatangaza mdhamini mkuu wa onyesho hili ambalo ni la kwanza Ferre kufanya peke yake Tanzania…hii pia ni ziara ya kwanza kwa Ferre kwa Afrika Mashariki tangu ajitoe Quarter Latin Internationale ya Koffi Olomide,” alisema.
Kabla ya kuanzisha bendi yake, Ferre aliwahi kupigia bendi ya Wenge Musica BCGB ambapo alikuja nayo nchini mwaka 1997, baadaye akabaki na kundi liliunda Wenge Maison Merre ya Werrason iliyomeguka kutoka BCBG akatembelea tena mwaka 2000.
Kisha akajiondoa na kuanzisha Le Marquizer de Maison Merre akiwa na repa Bill Caludji Clinton na Baby Ndombe, kabla ya kuchukuliwa na Koffi Olomide. Kwa sasa anatamba na albamu zake Sens Interdit, Lubukulumu na Queist Derrierur Toi yaani nani yuko nyuma yako ambayo ni albamu yake mpya.
Wednesday, October 21, 2009
MDAU AKIWA KAPOZI NA MWANAE KIGANE-SHARON
HUU NI UNYAMA SANA KWA MTOTO HUYU
.jpg)
KAMA ULISIKILIZA VIZURI LEO TENA NA DINA MARIOUS CLOUDS FM KIPENGELE CHA HEKAHEKA NA GEA HABIB, HUYU NDIYE MTOTO SIMULA MAGATHI (MIEZI 5) WA MKOANI MARA ALIYEKATWA VIGANJA KWA IMANI ZA KISHIRIKINA NA MTU ASIYEJULIKANA KISA VINA MICHORO YA MIKUNJO HERUFI M. AKISIMULIA TUKIO HILI BIBI WA MTOTO HUYU NYAPAMBA MAGATHI AMESEMA ILIKUWA NI KTK SHUGHULI ZA MAISHA AMBAPO ALIMWACHA AKIWA AMELALA HUKU MTOTO MWINGINE MKUBWA AKICHUNGA NYUMBA ALIPOREJEA AKAKUTA CHUMBA KIMEJAA DAMU NAKUJIONEA KILICHOTOKEA ASIJUE KIMETENDEKA VIPI, ALIYE FANYA UNYAMA HUU MPAKA SASA HAJAPATIKANA NA HAKUNA JUHUDI ZOZOTE ZINAZOFANYWA NAJESHI LA POLISI KUPELELEZA HATIMAYE MBAYA KUBAINIKA. "INATISHA INAHUZUNISHA" MTOTO SIMULA MAGATHI ANAISHI NA BIBI YAKE KWANI MAMA MZAZI WA MTOTO HUYU NYASATO SIMULA NI MGONJWA WA AKILI AKIPATIWA MATIBABU HOSPITALI YA MKOA WA MARA. PICHANI MTOTO SIMULA MAGATHI AKIWA USINGIZINI NDANI YA HOSPITALI KUU YA MKOA WA MARA AMBAPO ANAPATA MATIBABU. UNYAMAGANI HUU.
JAMII TUKEMEE UONEVU HUU.....JAMANI INASIKITISHA SANA!!!!
Friday, October 16, 2009
MTV MAMA AWARDS PIX-2009

Presenter Wyclef Jean stage dives at the MTV Africa Music Awards (MAMA AWARDS)

HHP accepts the trophy for Best Video at the MTV Africa Music Awards (MAMA AWARDS)

MSANII WA KENYA BINTI AMANI AKIWA KATIKA TUZO ZA MAMA,AMANI ALIPATA TUZO YA BEST FEMALE ARTIST...BIG UP AMANI

AMANI IN ACTIONS IN MAMA AWARDS
AKON AKIWAPA BURUDANI WAPENZI KATIKA TUZO ZA MAMA JIJINI NAIROBI WIKI ILIYOPITA...BIG UP SON OF AFRICA
Tuesday, October 13, 2009
HII IMETULIA!!!!
Monday, October 05, 2009
VODACOM MISS TANZANIA-2009
MISS TANZANIA PIXS
My best photo for miss Tanzania 2009
its very true that THT wanafunika mbayaaaaaaaaa...big up Rebecca Young for the creativity!!!
Mhhh Ray C kwakweli hakuni impress kabisa as if alikurupuka kuja kufanya show ya miss tanzania...Next tyme jipange sisy utazidi kupotea!!!!
This boys from Uganda are now hot in East africa....
Friday, September 18, 2009
VODACOM BUSINESS YAFUTURISHA WATOTO YATIMA WA CHAKUWAMA –SINZA MORI
Katika utaratibu wake wa kila mara kampuni ya simu za mikononi Vodacom Tanzania kupitia kitengo chake cha Vodacom Business jana ilifuturisha watoto katika kituo cha kulelea watoto yatima CHAKUWAMA kilichopo Sinza Mori jijini Dar es salaam.
Akizungumza mara baada ya futari hiyo mratibu wa shughuli za kituo hicho kutoka Vodacom Edwin Temba aliwataka watoto hao kujiamini katika mambo yao mbalimbali wanayoyafanya kwani kujiamini kwao kutawafanya kushinda matatizo yoyote yatakayowakabili, Edwin aliongeza kwamba wao ni sawa na watoto wengine, kwani wanaweza kuwa wa kwanza kimasomo shuleni lakini pia wanaweza kuwa wa mwisho kimasomo hivyo kufanya vizuri kwao kutategemea jitihada zao katika masomo.
Naye mfanyakzai mwingine kutoka Vodacom Esther Mattle aliwaambia watoto hao kuwa Rais wa nchi hii Mh. Jakaya Kikwete alikuwa mtoto kama wao, lakini alikuwa msikivu kwa wazazi wake na watu wazima ndiyo maana akafikia mafanikio hata kuwa rais wa nchi hii, hivyo akawataka watoto hao kuzingatia yale yote wanayomabiwa na watu wazima pamoja na walezi wao, Vodacom pia walikabidhi zawadi mbalimbali kwa watoto hao ikiwa ni pamoja na unga, mafuta ya kupikia, sabuni na vifaa vya kuchezea watoto.
Monday, September 07, 2009
MAPOZI... SEAN AKA PUFF COMBS
Friday, August 28, 2009
THE NEW BLOG 4 DIVA'S...LADIES-CHAT.BLOGSPOT.COM
Wednesday, August 19, 2009
Tuesday, August 18, 2009
BIG PROTAS WITH HASHEEM.....
Monday, August 17, 2009
CELEBRITIES NA FAMILIA ZAO...SO NICE
Terence Howard and his 3 children Hunter, Aubrey and Heaven
Snoop and wife Shante with their 3 kids, Corde, Cordell, and Cori. Pictures sourced through: Google images.
Madonna and her kids. Lourdes Maria Ciccone Leon (Father: Carlos Leon) Rocco Ritchie (Father Guy Ritchie), adopted son, David Banda and soon to join the family, Mercy
Jamie Foxx and his daughter Corrine.
Faith Evans has four children:a daughter named Chyna,15, with music promoter Kiyamma Griffin, a son named Christopher Wallace Jr with the late Christopher Wallace a.k.a Notorious B.I.G; sons Joshua and Ryder are with her husband Todd Russaw.
Brad Pitt and Angelina Jolie. They have 3 biological and 3 adopted kids together; Maddox Chivan, Zahara Marley, Shiloh Nouvel, twins Knox Léon, and Vivienne Marcheline.
Will Smith and Jada Pinkett-Smith with the kids, Willard Christopher ’Trey’ Smith III (mother: Sheree Zampino), Jaden Christopher Syre Smith and Willow Camille Reign Smith
Sunday, August 16, 2009
MY BEST BANGO KWA MWEZI HUU WA 8
Thursday, August 13, 2009
LEO MWANANGU KAFIKISHA MIEZI 2......THX GOD
Thursday, August 06, 2009
FM YAJA NA DVD YA UTAMU WA VANILLA!!!

Hii ndiyo Live DVD ya wana FM ACademia watoto wa mujini inayoitwa world No.0 Utamu wa Vanila itakayozinduliwa agosti 9 ukumbi wa Msasani Club jijini Dar es salaam ambapo kutaporomoshwa bonge la burudani kutoka kwa vijana hao wataalam wa kupika chakula aina ya Zombo na Matembele jukwaani nyote mnakaribishwa kuona mambo yao makubwa na kujipatia hizo DVD
STORY BY:FULLSHANGWE BLOG NA MDAU JOHN BUKUKU
Monday, August 03, 2009
LETS VOTE FOR MWANA FA
Tanzanian Bongo Flava artist Hamis Mwinjuma aka MwanaFA has been nominated by Channel O Music Awards Which is gonna be held in Johannesburg South Africa on 29th October 2009,
His video track name NAONGEA NA WEWE featuring AY has been nominated into two categories.The Most Gifted Group (DUO) and The Most Gifted East African Video.
MwanaFa and Ay they begging you to vote so as they can win awards.Its obviously they can,and by winning this they’ll put up Bongo flava to the map.Take your time and remember you are vote for our country and our musics.
HOW TO VOTE
To vote, MWANAFA The Most Gifted or Duo must SMS 4E to +27839208400
To vote, MWANAFA The Gifted East Africa Video must SMS 13B to +27839208400 (International SMS rates apply)
or vote on http://www.channelo.tv (web). Is where you can vote
You can vote as many as you want!
Regards;
MwanaFA & AY…
Tuesday, July 28, 2009
WANAFUNZI WA SHABAN ROBERT WAFANYA MAMBO!!!

Wanafunzii wapatao 50 wanaosoma katika vidato mbali mbali ndani ya Shaaban Robert Secondary School, waliweza kupagawisha wanafunzi wenzao, ndugu, jamaa na wazazi kadhaa waliojitokeza kushuhudia usiku wa vipaji siku ya jumamosi ya tarehe 18 mwezi wa 7 2009 katika ukumbi wa sherehe wa shule hiyo
PICHA KWA HISANI YA BONGO 5.COM
Saturday, July 25, 2009
LEO NDIO LEO ..ZHONG HUA GARDEN...WENGE MUSICA SPECIAL
Ebwana eeh ka wale vijana wa enzi zetu enzi za Wenge musica,enzi za Tazara ,enzi za Silent inn club mwenge na wengineo wengi leo ni leo maana Dj Rankim ramadhana atawasha moto mkali sana kwa kukumbusha watu enzi zile za kundi hili ambalo liliweza kuweka historia kubwa africa kama The jackson 5...tukutane pale leo jioni kama kawa tupate burudani za ukweli.....wadauMO ROCCA NDIE DAR MOST SEXIEST BOI
THIS IS JOHN ALLAN NAMU..CNN BEST JOURNALIST-2009
John-Allan Namu, from Kenya, has been awarded the top prize at this year’s CNN MultiChoice African Journalist 2009 Awards Ceremony.John-Allan, reporter for Kenya Television Network, won for his stories ‘In the shadow of the Mungiki’ and ‘Inside Story: Scars and Sufurias’, which were chosen from among 1665 entries from 38 nations across the African continent.John-Allan was one of 25 finalists at the Awards ceremony on Saturday evening and was a winner in two categories, the Television News Award and Television Features Award. This is a first in the history of the competition.The Awards, which rotate location each year in tribute to their pan-African credentials, returned to South Africa in 2009 and were held at a Gala ceremony hosted by CNN and MultiChoice at The International Convention Centre, Durban this evening, Saturday 18th July.Tony Maddox, Managing Director, CNN International and Nolo Letele, CEO, MultiChoice South Africa, presented John-Allan with the Award.John-Allan Namu said: “I feel immensely honoured. I never thought this would happen. This goes to show anyone from any walk of life can stand among giants.”Chairperson of the judging panel, Azubuike Ishiekwene, Executive Director, Punch Nigeria Limited said: “The reporter went beyond the surface, stripped the stereotype and combined sound, images and research to bring new insight and meaning to the story.
STORY FROM FULLSHANGWE BLOG.
Monday, July 20, 2009
Friday, July 17, 2009
SHOW LOVE...ITS FRIDAY!!!
REMEMBER DEPLOMATZ...STIGO
FALLY IPUPA DI CAPRIO...DELLA PEEEE
Thursday, July 16, 2009
COWBOI NGWEA AJA NA CNN...TOKA BONGO RECORDZ
He goes by the name Cowboi aka Ngwea a simple man but balaa,amekuja na ujio mpya wa Bongo Recordz chini ya kichwa mahiri cha Hip hop hapa bongo nowadays Producer Q...ebwana huo wimbo umesimama sana maana Ngwea amebadilika sana kwa ku rap na kuimba...Big up to mwana chemba na tundelee kukesha kama CNN,speed zaidi ya KLM na kula bata kama kawa!!!!
Wednesday, July 15, 2009
MTAZAMO WANGU BLOG ENDORSED ABBA SEDOU
Ndugu wadau wa blog hii pendwa naomba kwa idhini yenu nimu endorse kijana Abba Sedou huyu ili apigiwe kura na wapenzi wote wa blog hii kama the most sexiest man in dar...please vote for him in www.diva255.blogspot.com .Lets support each otha na huyu ndio chaguo letu kwa shindano hili..........
The Editor
Mac Temba Jr
email me : mtazamowangu@gmail.com
Wednesday, July 08, 2009
VODA KIJIJI YAFUNIKA 77 MWAKA HUU
Wednesday, June 17, 2009
VODACOM WASHEREKEA SIKU YA MTOTO WA AFRICA PALE CHAKUWAMA- SINZA
Mdau akitoa shukrani kwa watoto wa chakuwama....
Wadau wa Vodacom wakiwa wamepozi jana kituoni Chakuwama....
Mmoja kati ya watoto wa Chakuwama akipozi kwa picha jana mchana.
Pichani ni mdau wa blog hii pamoja na mtoto mrembo wa pale Chakuwama jana...it was full of fun.
Watoto wakifurahia mambo ya vodacom jana pale kituoni....
SIKU YA MTOTO WA AFRICA NA CHAKUWAMA
Mikonoz wadau.... nikiwa na marafiki zangu watoto wa chakuwama jana mchana.
Mdau Melinda wa Vodacom akiwa kituoni Chakuwama jana kusherekea siku ya mtoto wa Africa na yatima wa pale kituoni.
Wafanyakazi wa Vodacom kitengo cha Corporate solutions wakiwa pamoja na baadhi ya watoto wa Chakuwama jana katika kusherekea siku ya mtoto wa Africa.
Mdau wa blog hii akiwa na Mohd karambo na dada Somoe wakipata chakula jamvini jana...kitu cha pilau na soda kangaaaaaa!!!!
Mdau kutoka Vodacom Mohd Karambo akijiandaa kuondoka baada ya kula chakula na watoto wa chakuwama pale Sinza jana
Watoto wakila chakula kilichoandaliwa na wafanyakazi wa Vodacom kitengo cha Corporate Solutions
Wadau wa Vodacom wakipakua chakula jana mchana,pichani Mohd karambo na mdau Simon martin
watoto wazuri wa chakuwama sinza
mdau wa blog hii akiwa na watoto wa Chakuwama jana hii ilikuwa ni kusherekea siku ya mtoto wa Africa.
watoto wazuri wa Chakuwama jana mchana kwenye maazimisho ya siku ya mtoto wa Africa.
Saturday, June 13, 2009
OOH GOD THANK YOU SO MUCH!!!
Pichani hapo chini ni Mke wangu Zai aka Tamary akiwa na princess wetu
Jumamosi tarehe 13 juni,2009 saa 3;45 asubuhi mke wangu mpendwa alijifungua mtoto wa mzuri wa kike wa kwanza katika familia yangu...namshukuru mungu sana kwani mama na mtoto wapo na afya njema,mtoto alizaliwa kwa operesheni na ana uzito wa kilo 4.5
mungu awabariki wote mliotuombea kwa mungu na mungu awazidishie.
Big up kwa marafiki wetu wote....najua wadau mna hamu ya picha nyingi soon zinakuja.
mungu awabariki wote mliotuombea kwa mungu na mungu awazidishie.
Big up kwa marafiki wetu wote....najua wadau mna hamu ya picha nyingi soon zinakuja.
Saturday, June 06, 2009
HAWA NI MASSAWE NA KIMARIO AKA AY & FA
MY BROTHA CHIEF ROCCA IN OHIO
THE CHEMBA SQUAD NA MDAU WA BLOG HII
Monday, June 01, 2009
LOVE MESSAGE TO MY WIFE AKA MY BEST FRIEND
I love you because, not only for what you are, but for what i am when am with you.
I love you not only for what you have made of yourself but for what you are making of me, I love for the part of me that you bring out, I love you for reaching out and touching my heart, and passing over all the foolish weak things that you cant help simply seeing there ,and for drawing out into the light all the beautiful belongings that no one else had looked quite far enough to find. I love you because you are the reasons for all my tomorrows. Your love makes my life complete.
I cannot promise that I will not hurt your feelings sometimes. And I can not promise that will always be strong, . But I do promise that I will always be supportive of you. I will share all my thought, sad feelings with you. I do promise that I will understand everything that you do and be completely honest with you.
I do promise that I will laugh and cry with you. I do promise that I will help you achieve all your goals. But most of all I do promise that I will love you with all my heart until my dying day.
I love you not only for what you have made of yourself but for what you are making of me, I love for the part of me that you bring out, I love you for reaching out and touching my heart, and passing over all the foolish weak things that you cant help simply seeing there ,and for drawing out into the light all the beautiful belongings that no one else had looked quite far enough to find. I love you because you are the reasons for all my tomorrows. Your love makes my life complete.
I cannot promise that I will not hurt your feelings sometimes. And I can not promise that will always be strong, . But I do promise that I will always be supportive of you. I will share all my thought, sad feelings with you. I do promise that I will understand everything that you do and be completely honest with you.
I do promise that I will laugh and cry with you. I do promise that I will help you achieve all your goals. But most of all I do promise that I will love you with all my heart until my dying day.
With you we can make all with God Blesses!!!
Subscribe to:
Posts (Atom)
































.jpg)






