Saturday, January 30, 2010

DJ JD KUIPAISHA 100.5 TIMES FM 2010
EBWANA WADAU HUYU JAMAA KWANGU NI MMOJA KATI YA MA DJ WACHACHE AMBAO WALIWEZA KULETA MAPINDUZI MAKUBWA KATIKA TASNIA YA MUZIKI WETU...HIVI UNAKUMBUKA ENZI ZA POWERFUL 4 PALE CLUB BILICANAS ...HAPA JD,PALE DJ HABIB,PALE DJ GURU EBWANA NOMA SANA ILIKUWA HATARI NDANI YA BILLS THOSE DAYS WALIKUWA NA SESSION YA TOP 20 HITS ZA BILLBOARD EBWANA HIZI ZILIKUWA NOMA.

HUYU JAMAA KASAINI MKATABA KATIKA REDIO YA TIMES FM,I HOPE ATASAIDIA KUIRUDISHA KWENYE CHATI REDIO HII.

BIG UP JD I RESPECT YA HOMMIE!!!

No comments: