tag:blogger.com,1999:blog-2240430217110977960.post1250930622085717519..comments2023-07-04T04:37:39.945-07:00Comments on MTAZAMO WANGU (MAC TEMBA Jr) -Editor Contact email is mactemba@hotmail.com: MISRI VS ALGERIA NI AIBU KWA REFAThe Editor :Edwin Mac Tembahttp://www.blogger.com/profile/13256331436543830671noreply@blogger.comBlogger3125tag:blogger.com,1999:blog-2240430217110977960.post-12002305665205646202010-01-29T23:30:28.645-08:002010-01-29T23:30:28.645-08:00mmh kwa kweli hata mm nisiye mpinzi wa mpira ila r...mmh kwa kweli hata mm nisiye mpinzi wa mpira ila refe alianza kuuharibu mchezo.kisheria hairuhusiwi kupiga chenga wakati wa penati.na alipozidi kutoa card nyekundu nyingi,niwaelhttps://www.blogger.com/profile/00771655895240166958noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-2240430217110977960.post-64165962336471086442010-01-28T22:53:39.555-08:002010-01-28T22:53:39.555-08:00Aaa bwana acha ushabiki wewe. Sasal ulitegemea ref...Aaa bwana acha ushabiki wewe. Sasal ulitegemea refa afanye nini kwa faulo kama zile!<br />Angeacha bila kutoa kadi si ndio angeharibu mchezo mapema kabisa.<br />Mimi naona refa alikuwa na busara sana maana hata hakutaka kumpa kadi mchezaji aliyempiga refa kichwa. alitumia busara tu ili asiharibu mchezo. Sasa kama waAlgeria wanacheza rafu za kijinga kabisa afanyeje? awapendelee? Acha porojo, toa hoja - kwanini unaona refa hakustahili kutoa zile kadi?Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/05346315258036925958noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-2240430217110977960.post-41436691845430123812010-01-28T22:49:45.703-08:002010-01-28T22:49:45.703-08:00Aaa bwana acha ushabiki wewe. Sasal ulitegemea ref...Aaa bwana acha ushabiki wewe. Sasal ulitegemea refa afanye nini kwa faulo kama zile!<br />Angeacha bila kutoa kadi si ndio angeharibu mchezo mapema kabisa.<br />Mimi naona refa alikuwa na busara sana maana hata hakutaka kumpa kadi mchezaji aliyempiga refa kichwa. alitumia busara tu ili asiharibu mchezo. Sasa kama waAlgeria wanacheza rafu za kijinga kabisa afanyeje? awapendelee? Acha porojo, toa hoja - kwanini unaona refa hakustahili kutoa zile kadi?Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/05346315258036925958noreply@blogger.com