Sunday, December 27, 2009

THE TANZANIAN YOUNGEST CHEF...ISSA

Dear Editor Mac Temba Jr,

Natumai hujambo mimi ni shabiki mkubwa wa blog za nyumbani,
Nimemaliza masomo yangu ya culinary kwa mafanikio makubwa sana,
Pokea picha za graduation yangu na picha nikiwa jikoni wakati wa mafunzo.

Mwezi wa 6 mwaka huu nilichaguliwa kama muafrica pekee kuhudhulia moja ya tamasha kubwa duniani la art Basel switzerland katika fani ya misosi. Nimepata shahada ya Arts in European culinary Management inayotambulika na Manchester Metropolitan University UK na International Hotel Management Institute Switizerland.


Nitakua ni Executive chef mdogo kuliko wote Tanzania kua HACCP certified na kufungua na kuongoza five star hotel.


Elimu niliyoipata nataka kushea na ndugu zangu kwa kufungua blog itakayoitwa CULINARY CHAMBER january narudi nyumbani kabla ya kuifungua rasmi blog nahitaji kupata ushauri kwenu wakongwe wa blog hapo nyumbani nawatakia wapenzi wote wa blog hii kheri ya mwaka mpya 2010.

Chef Issa

No comments: