Sunday, December 27, 2009

NI YANGA FC BINGWA WA TUSKER 2009YANGA FC jana walihitimisha ushindi wao kwa kuwafunga mabingwa wa kenya Sofapaka Fc kwa magoli 2-1 na kuifanya kubakisha kombe la Tusker hapa Tanzania.Yanga ikiwa chini ya kocha wao mpya Kostadic Papic wameweza kuonyesha mpira mzuri wenye kasi na umakini sana katika mechi zao zote.

Hongera sana wana Yanga kwa Ubingwa!!!

No comments: