Monday, September 22, 2008

MJUE REFA MIKE RILEY

Huyu ni Mike Riley r refa mpumbavu kuliko wote katika historia ya soka la England,historia yake ya matukio yake ni kama ifuatavyo,...Aliwahi kusukumwa na Di Canio Man utd Vs West Ham,alishatemewa mate na Gazza kwenye mechi kati ya Man Utd Vs Boro,alishakunjwa na na Paul Ince mechi kati ya Man Utd Vs Boro,alishatukanwa na Viera Man Utd Vs Arsenal,alishampa kadi nyekundu Sammy Hypia dakika ya pili Man Utd Vs Liverpool,alishawapaga penati Man Utd vs Arsenal dakika ya 93 mungu akamlaani wakakosa na kusababisha ugomvi na kupigwa Van Nisterloy...Ni refa mpuuzi sana hachezeshi UEFA,Euro wala World Cup sababu ya maamuzi yake ya utata...Habari ndio hiyoo

No comments: