Monday, September 22, 2008

YANGA MOTO CHINI!!!!

Hii ndio timu ya Yanga Africa inayoendelea kutoa dozi kila kukicha...Swali ni kuwa wataweza kumaliza uteja kwa Timu ya Simba mwaka huu...Hilo ni swali ambalo wana Yanga wengi wanajiluiza kipindi hiki,Boniface Ambani na Mwalala wameonyesha kuwa wao ni hatari na wanastahili kupata mamilioni ya Manji...Big Up Yanga

No comments: