Wednesday, September 24, 2008

MAD ICE....ALBUM MPYA INAKUJA

Msanii mahiri Mad Ice anayefanya shughuli zake za muziki nchini Finland anakuja na album yake mpya itakayojulikana kama "Maneno".Album hiyo yote ameifanyia huko Finland yaliko makazi yake mapya...Big Up Mad Ice naamini mambo yatakuwa bomba kama album iliyopita!!!

No comments: