Wednesday, September 24, 2008

TUMEKUMISS SANA HOMMIE!!!

Ni kama miezi miwili imepita tangu Msanii mahiri Khaleed Mohamed aka Tid ahukumiwe kwenda jela,habari za chini chini zinasema kuna timu imeundwa kusaidia kumtoa kijana huyu mburudishaji ili asiendelee kupata shida za jela maana jela sio mahala pazuri...Mungu aweze kubariki yote ili Tid aweze kutoka mapema,naamini atakuwa amejifunza na ameelewa kuwa magomvi sio kitu poa...I believe everyone deserve a second chance so tumpe muda na atajirekebisha...LETS STAND & RESCUE TID

No comments: