
Big up My boy Mwana Fa aka Binamu kwa video poa na simple ya "Utaoa lini? i really like the shots katika video hiyo,Keep it up making it najua bado mapambano bado yanaendelea kuhakikisha muziki wetu unasaidia maendeleo ya jamii yetu...Hongera kwa kufungua website 4 sure thats great na its a way forward....Mwana Fa website is www.binamu13.co.tz
Big up Sana Mwana fa!!!
No comments:
Post a Comment