Tuesday, September 02, 2008

POLENI WADAU NA SWAUMU!!!

Asalaam Aleikhum!!!


Kwa niaba yangu mimi Mac Temba Jr na wadau wote wa blog hii Napenda kumtakia mfungo mwema mdau mwenzangu Shamim aka Zeze na waislam wengine wote mfungo mwema wa Ramadhani na kuhakikisha wanatimiza yote yanatakiwa ila swaumu zao ziweze ku swiii,na kwa wale wadau wengine makobe ndio wakati wao wa kutoa sababu nyingi ooh mara nina vidonda vya tumbo,ooh mara dokta kanishauri coz naumwa pressure....na wengine ndio muda wa kunywa soda za sprite na chips bila tomato sauce ili mradi tu kudanganya wananchi na kutomwogopa mungu wao...Wote tutimize mfungo huu maana ni moja kati ya nguzo kuu za uislam...

Wabillah tawfiq!!!No comments: