Sunday, September 07, 2008

Do U Know This man???


Tell me who is he???

6 comments:

Anonymous said...

Huyu ni baba yake Dully Saiksi.nimesahau jina lake,ni mpiga gitaa mzuri sana.Canada

Jacqueline Ngowi said...

Huyo ni Babake Dully Skyes

Markus Mpangala said...

jamani kuna watu wanjua kufahamu kwani hilo pozi lake limenichanganya sana hata sijui ni nani, tuokoe bwana mkubwa MTAZAMO kwani siamini hawa jamaa

Mac Temba said...

Ebwana ndio huyu ndio baba yake mzaza mwnamuziki Abdul Sykess aka Dully Sykess...alikuwaga baharia na ni mtu poa sana na ni mpiga gitaa mzuri sana...Namkubali sana huyu mzee...Much love

Anonymous said...

Baharia wa kitambo kama nini apige bunda tena akajilipue mblele tu

Anonymous said...

Mhhhhhhh,baba wa mista misifa lakini kama baba wa Channel 5