Saturday, May 10, 2008

THE NEW SEASON ...COMING TO YOU SOON!!

Hey my blog fans!!!

Thanks sana kwa salaam na pole nyingi kwangu...nashukuru sana na ki ukweli zinanipa nguvu na akili zaidi ya kufanya mambo zaidi maishani (kujipanga)na katika blog hii ambayo ambayo mpaka sasa imeweza kuwa njia rahisi ya mawasiliano kati ya makundi mbalimbali katika jamii yetu...Nipo jikoni nikipanga kwa mambo makubwa na mazuri kwa ajili ya blog hii kurudi katika suala zima la kuwafurahisha wadau wangu na wapenzi wote wa blog hii...Na amini pamoja we can make it and make this blog one of the best in our country amd worldwide too.

Thanks my fans and forgive me while najipanga for a new season of this blog,which will be the bomb ...stay in touch and i will appreciate if i will get ya comments in order to make this coming season nive and marvelous!!!


much LOVE,

The Editor
Mac Temba,Edwin

1 comment:

Pope said...

Kaka kaza Buti mwana Mambo matamu
Mzima lakini? mambo ni aje mkuu.
Kila la heri kaka na msimu mpya!!
Pius
Spoti na Starehe