Tuesday, April 01, 2008

THE POINT OF NO RETURN YAINGIA SOKONI

Ile filamu iliyokuwa inasubiriwa na nguvu na wadau wa filamu Tanzania 'The point of no return' imeingia sokoni,habari ambazo blog hii imezipata ni kwamba filamu hiyo imewashirikisha wasanii maarufu kama Stephen Kanumba,Dr Chein,na wengineo wengi huku nafasi kubwa ya filamu huyo ikishikwa na Miss Tanzania wa mwaka juzi Wema Sepetu...Natumaini itakuwa ni filamu nzuri ngoja niicheki halafu kama nina maoni nitayaweka katika blog hii hii maana ndio gazeti langu la kutoa mitazamo yangu...Big Up Kanumba!!!

No comments: