Naweza sema kuwa ni mmoja wa wasanii wakali katika soko letu sanaa ya filamu na uigizaji Tanzania,kijana huyu ameleta mapinduzi makubwa katika soko la filamu tanzania,Anaitwa Stephen Kanumba....
Simple,fun likes likes friends who are real,no time for beefs...Napenda sana muziki na kupenda sana kucheza na watoto hasa watoto yatima so that they can feel that the society loves them...Pamoja we can make some changes,So i invite you all to enjoy all in this hottest blog.
No comments:
Post a Comment