Tuesday, April 01, 2008

HAWA APATA DEAL CHINA FASHION WEEK


Mwanamitindo Hawa abdulkadir ambaye anafanya kazi ya uanamitindo nchini Afrika ya kusini amepata deal ya kwenda shanghai ,China kwa ajili ya kuonyesha mavazi nchini humo Kwa mujibu wa blog ya mwanamitindo huyo Hawa ataenda katika Fashion Week ya nchini humo ambapo madesigner tofauti wakichini watakuwa wanaonyesha vivazi vyao Tayari Hawa alishafanya maonesho tofauti makubwa ya mavazi nchini nchini Afrika ya Kusini na hii itakuwa onesho lake la kwanza nje ya nchi hiyo. Hawa alianzia safari yake katika kinyang'anyiro cha kumsaka kisura wa Afrika baada ya hapo ndipo alipoingia katika fani hii ambapo anafanya vizuri kila la kheri Hawa

No comments: