Tuesday, April 01, 2008

UNAKUMBUKA KIPINDI HIKI????

Hebu fikiri watanzania hawa wengi wao wamachinga wangepewa nafasi nyingine ya kufanya uchaguzi hivi unafikiri wangekubali kutembea kilomita 9 kwa miguu na kuchangamkia kampeni kama mwaka 2000???

No comments: