Monday, May 03, 2010

THIS IZ JUSTIN BIEBER...


THIS IS THE BOY WHO IS UNDER USHER RAYMOND MANAGEMENT...NI MTOTO MDOGO SANA AMBAYE BAADA YA MAFANIKIO YA ALBUM YAKE MENEJA WAKE USHER RAYMOND ALIMZAWADIA GARI MPYA AINA YA RANGE ROVER "VOGUE" KAMA ZAWADI YAKE KWA MAFANIKIO YAKE...

SIKU ZA HIVI KARIBUNI AMEHUSISHWA NA HABARI ZA KUMTAKA KIMAPENZI MSICHANA MWANAMITINDO KIM KARDASHIAN...

BIG UP JUSTIN

No comments: