Monday, May 03, 2010

NAKAAYA SUMARI APEWA SHAVU CHADEMAMSANII MKALI MWENYE MTAZAMO WA KI HIP HOP TOKA ARUSHA MISS NAKAAYA SUMARI AKA MTOTO WA NYERERE AMEPEWA CHEO KATIKA CHAMA CHA CHADEMA KUWA AFISA UENEZI NA MAWASILIANO.

KATIKA MAHOJIANO YAKE LEO KATIKA KIPINDI CHA DR BEAT CHA CLOUDS FM ALISEMA KUA YEYE AMEAMUA KUJIUNGA NA CHADEMA KWA MAANA ANAAMINI SERA ZA CHAMA HICHO NA AMEWATAKA WAPENZI WA MUZIKI WAKE WAMUAMINI NA KUENDELEA KUMPENDA KWA MAANA AMETUMIA HAKI YAKE YA KIKATIBA KUCHAGUA CHAMA ANACHOKIPENDA.

BIG UP NAKAAYA....I BELIEVE U WILL FOLLOW AMINA CHIFUPA WAY IN BRINGING TANZANIAN YOUTH TO NEXT LEVEL...

No comments: