Thursday, May 20, 2010

AJALI..BASI LA TAIFA STARS LAGONGWA

Hapa pichani juu ni ajali kati ya basi la Timu ya Taifa stars likiwa limegongana na gari aina ya pick pale Millenium Towers barabara ya Ali Hassan Mwinyi mchana huu.....


Hii ijali imesababisha foleni kubwa mchana kwenye ile njia sana..sasa sijui kosa la nani???hivi kwenye ile njia ya katikati pale nani ana haki ya kupita??????


Taa yote   ya pembeni kwishnei maana jamaa wa  pick up ndio kagonga hapo hapo!!!

No comments: