Monday, March 08, 2010

ONA MAMBO YA ZANTEL MZUKA @ SAMAKI SAMAKIHAWA NI MODELS WA BLACK FOX WALIOKUWA KWENYE PROMOSHENI YA ZANTEL PALE SAMAKI SAMAKI MLIMANI CITYMSHINDI WA PROMOSHENI HIYO MISS REBECCA AKIPOKEA ZAWADI YAKE.

Hello mactemba,

Check the attached pictures……

Hayo ndo yaliyojiri samaki samaki kwenye Mzuka Night Promotion kama picha zinavyoonyesha.

Tulituma sms broadcast kwa wateja wa zantel wa dar kuhusu mzuka night na pia tuliwatangazia kuwa watakaotoka ki zantel watazawadiwa na tuliweza kumpata huyo mrembo mwenye nguo za rangi za zantel na kumzawadia VOUCHERS zenye thamani ya sh.elfu kumi.na hii ni kila alhamisi kuanzia saa kumi jioni hadi saa tano usiku kabla ya kuelekea SAVANA LOUNGE.


HIZI PICHA NA TAARIFA NI KWA HISANI YA MDAU WA ZANTEL BWANA EDGAR MAPANDE

No comments: