Monday, March 08, 2010

LETTER FROM UK...FROM MY COUSIN PKAY...LONG TYME...

Natumaini u mzima kabisa ingawa nasikia ofisi ya nyumbani(Home Office)
wameanza kuzingua watu kuingia kwa bibi mithili ya Bodi ya mikopo na wanafunzi Bongo..yeah! I know what you thinking? Aaah cousin bwana keshaanza kuandika mihabari yake ya siasa.....anyway siwezi kuku blame..kutwa upo kwenye box mpaka nati zimenza kulegea kwenye kichwa...nikufahamishe tu kuwa siasa ndio mchezo pekee unaowaunganisha watu..hamna cha nokia (connecting people) wala sijui blah blah zena,vodabomu na wale wenzao wa sijui wanaetwaje saa hivi..maana wana AKA nyiiiingi kweli..TIGO. Maana ukiwa msibani, harusini,mpirani lazima vigenge vya siasa vitajitengeneza tu mara sijui bata kala mbwa! Sijui nape kananihii WHITE HEAD.ili mradi kila mtu mjuaji..magazeti nayo ndio hivyo tena yote ni udaku mtupu mpaka wamesababisha DENJA MAN MKAA HAPA akaongelee kanisani.
>
>
> Nway mi staki kukuchosha na hayo mambo, usije ongezeka saizi ya kichwa
bure! Nilitaka tu kukupatia yaliyonisibu hivi karibuni mzee mzima....si nilikuwambia nilishapata kishtobe kimoja hivi full ma intelligent kulaleki!!
Yaani ndoa nje nje na ma promise ya ki lavi davi pomo.(ona nilivyokuacha hapo!
Shauri yako nenda Google Kiswahili ukan'gamue
neno) sasa bwana si nilikwambia
nilipata transfer ya kufanya usafi hapa PPF TOWER? Ndugu yangu macho hayana pazia, nika mchwii mrembo mmoja hapa..li moyo likamtunuku..na watu wakaanzisha bendi..smambo yakawa mambo yakawa motomoto ndani ya mwezi mmoja...siku ya siku si nikaalikwa harusini na huyu my darling mpya(harusi ya dadake)..wazushi si wakamtonya kishtobe wangu...mzee mzima limezuka VANGA hilo sio mchezo.kwa jisni nilivyo fala nikaona ni heri tu ku confess pengine mwanga wa msamaha uonekane...aaah wapi mzee mzima nimepigwa kidochi aibu..hapa nilipo nahesabia maumivu tu...sasa cha kustaajabisha zaidi nikampa hii story mama na uncle geoff..respond yake nilibaki hoi..nikaambiwa mzee mzima kosa nilikolifanya ni kusema ukweli na kwamba hata kama ningekutwa chumbani nilitakiwa nibishe..nakakumbuka yale yale ya SHAGGY (He wasn't me)..doh mzee mzima issue imeshakuwa issue..kwa hiyo ile harusi uliyodhani itafungwa mwakani imeshakufa..na hapa nilipo sitamani hata kukaa hapa bongo..nishafungua mkoba naanza harakati za kuja huko tena..potelea mbali kwani mi ndio wa kwanza kupiga BOX! Mbona hata wewe unapiga....After all I'm a Retired BOX officer..nini chaa ajabu sasa
>
>

> Hapa nipo najifariji tu na mzee wa maji taka MUYENJWA maana na yeye
yamemkuta ya kukataliwa dk za mwisho wakati mshenga kashaenda kwa wakwe..eti mawe yam zee mzima gamba ni mafupi!.....duh siku hizi watakao oa ni jamii ya MANJI tu lol! Anyway, nikupe dokezo tu kuwa ANDREW kashamuvuzisha jiko lake halafu kapewa shavu lakuwa muhariri wa michezo gazeti la MWANANCHI! Ingawa harusi yake ilizua kizaa zaa wakati wa kuchagua usafiri wa bwana harusi...mpaka ikasababisha bonge la Tension kati yangu na presidaa wa mori EDWIN TEMBA..kamati imeniambia nitafute benzi..mwanawanane nikamtafuta consultant wangu akafanya mambo.S class ya nguvu.narudi kwa kamati kuwaambia nimepata gari na litafika walikague wao wananipa taarifa kuwa wamepata gari lingine..yaani ilikuwa noma.maana nadhani Temba labda alitulizwa na Zainab.sitashangaa kama hakuvunja TV.
>
>
>
> Wengine huku wapo shwari kabisa, Hamisi mwinjuma kaleta songi la kizaa
> zaa
hapa mpaka BABU kaamua kumtolea uvivu..DOUBLE G siku hizi anarudi home mapema kulea kwacha. Alcapaino MG na LILOPLANE wao wanazidi kuwa wa DUARA tu kwa kitimoto.
>
> James Moshi bado anataabika tu na VSAT na hivi mvua zimeanza basi
utamuonea huruma..Maccagissa yeye bado yupo yupo busy na NSSF yake..kanunua piki piki kama la FREDDY WILLAMSON..teh teh kama lile la Komando JOHN..anatisha..
>
> MWITA ama'ngana Samwel yeye bado yupo vekesheni baada ya kuoa mtoto wa
NMB..nasiki siku ya harusi alipewa zawadi ya hisa asilimia 50% za NMB. ndugu yangu.
>
> N-DOUBLE bado tu anashinda baa baada ya saa za kazi, kawa mmbea
huyo..JIBAI MKAMA kama kawa(Sae! Nae! Hahahaha)..Nitty Anitha Nice ndani ya Tigo baada ya kusota barclays (teh teh nime apply kazi upya)..ila nimepata taarifa kuwa Nicodemus mpapasingo baada ya kuona mtoto mpya tigo eti kaanza na gia za kutoa lift! Nico tutaonana wabaya aisee we endelea tu na hako kamchezo kako! Nancy kashafubaa huko iringa nasikia eti ni bibi afya(lol na mimi kwa umbea! sasa hivi namfikia Nkosya)....Janet Soutis dada yangu huyu siku hizi yupo busy mpaka kupokea simu ni tabu.usidhani ZAINAB sijakumaindi..mwenyewe upo kimya eti nisije kukupiga mzinga...we utaona tu siku moja(hahahahahaha eti nasikia siku moto umeanza dadangu ukaanza kuuzima kwa kuupiliza na mdomo.sio mimi bwana,..temba ndio alinitonya..Poleni sana ila ndio maisha)...Deo Kayombo yeye kapata hisani ya VODA maana alishaanza kuvunda kule Mbeya..lol(kaka sijaku diss mtu wangu.weee ndio mchiz waaangu)...Onesmo Lymo nasikia kaweka nadhiri ya kuwa mpaka amalize MCSE ndio atafikiria kuoa.bado anahangaika na migodi kule shinyanga chaliii wangu.
>
>

> Pattoo swai maisha yamemshinda bongo kaamua kwenda kibaigwa dom, yupo
kimya utadhani mbuni kaona hatari..kichwa kipo mchangani tu...yaani hata mshikaji wake ridhiwani mtoto wa mheshimiwa kamsahau ndugu yetu..shida sana.
Denis Safari kashafukuzwa kwenye chumba anakoishi pale kwa demu wake.......pengine anaweza kuwa kaomba hifadhi kwa FIKIRINI...mi sijui bwana..mambo yenu ya ulaya hayo na miteremko...Kaka Joel chacha..nimekuelewa...nivumilie mdogo wako
>
>
> By the way, unaweza nipatia Taarifa za dadangu Zuhura yunus..maana
> siku
hizi hata nikimuandikia sms wala hajigusi..na pia cheki na pale LUTON nadhani Ahmed babajide bado hajahama pande hiyo sio..mcheki na Timberland basi (ebwana Kaim bado unajiita hilo li AKA?)
>

> Wazee! Msikwaze na na huo uendawazimu..mi nilitaka tu kuwastua maana
> naona
mmeuchuna utadhani mnajiandaa kunywa pombe ya PINGU! Wote hapo juu na wengine salaam sana, msheherekee EID vizuri kabisa kwa mambo mazuri na mabaya kama mtataka wenyewe.sawa?
>
>
> Mungu awa rehemu (ooops! Mungu awalinde)..ebwana FA usiporudi na album
> la
COLDPLAY sijue wenyewe wanaliita LA VIDA sijui nini nini! Na ile ya yule mtoto NEYO...MISS INDEPENDET basi na mimi nita mjoin kwa FUJO pamoja na INSPECTOR kuku diss! Tena track langu ntalikandamiza U-TUBE
>
>
>
> ZAINAB..nategemea unikaribishe pilau la idi.nimesha longa na Mac Temba
>
>
> EID MUBARAAK


BARUA HII ILIANDIKWA NA PKAY aka Disciple ALIPOKUWA UGHAIBUNI MIAKA MINGI ILIYOPITA...
>

No comments: