Thursday, February 04, 2010

TONGWE REC YAJA NA T SHIRTS ZA KIJANJA!!!


Lebo ya muziki ya Tongwe Records chini ya CEO J-Murda wameleta sokoni lebo mpya ya T shirts za ukweli toka Japenga (Japan) J murda ameiambia blog hii kuwa mzigo wa kwanza wa T shirts 100 umeisha na anategemea kupokea mzigo mpya hivi karibuni so vijana acheni kuvaa vitu famba kamata Quality ya ukweli.....

Big up Tongwe records....Harakati kama kawa!!!

No comments: