Sunday, January 31, 2010

NINI UKWELI JUU YA TUHUMA ZA JERRY MURONIMEPITIA MAGAZETI NA VYOMBO VINGI VYA HABARI KUHUSIANA NA HABARI YA RUSHWA YA MWANDISHI NGULI WA HABARI ZA UCHUNGUZI WA HAPA BONGO NA MSHINDI WA TUZO YA MWANDISHI BORA 2009 KAMANDA JERRY MURO,KI UKWELI HABARI ZINACHANGANYA NA HAZINA KICHWA WALA MGUU...SIJUI NYIE WADAU MNAONAJE MAANA MI NIMEKOSA HABARI YA KUSHIKA,MARA KATEKA NYARA MTU,MARA ALIKUWA HOTELINI AKISUBIRI KUPEWA RUSHWA...KI UKWELI MPAKA SASA HAKUNA HABARI SAHIHI NGOJA TUSUBIRI KAMANDA KOVA ATUAMBIE NINI HASA KIMEMSIBU BWANA KOVA.

NITAWAJULISHA BAADAE

1 comment:

Anonymous said...

I love readding, and thanks for your artical.........................................