Saturday, February 20, 2010

LADY GAGA...FROM KONVICT MUSICMSANII HUYU LADY GAGA ALIKUWA AMESHAPOTEA KWENYE GAME YA MUSIC MPAKA KUFIKIA LEBO ILIYOKUWA IMEMPA MKATABA MNONO YA INTERSCOPE KUMMWAGA...LAKINI MKONGWE AKON WA LEBO YA KONVICT ALIAMINI LADY GAGA NI MSANII MKALI NA ANAKOSA TU WATU MAKINI WA KUFANYA NAE NAE KAZI NDIPO ALIPOMPA MKATABA NDANI YA KONVICT MUSIC NA KUWEZA KUITIKISA BILLBOARD KWA NGOMA KALI NA KUWEZA KUUZA NAKALA NYINGI MPAKA KUMFANYA AKON KUFIKIRIA KUSTAAFU KUIMBA ILI AWEZE KUTUMIA MUDA WAKE MWINGI KATIKA KUSAIDIA WASANII WACHANGA WAWEZE KUTOKA KAMA ALIVYOFANYA KWA LADY GAGA.

No comments: