Wednesday, January 13, 2010

SUGU IN PLANET BONGO INTERVIEW JANA!!!Jana i was watching the interview in Planet Bongo where Dulla alikuwa anamuhoji Joseph mbilinyi aka Sugu kuhusu muziki wetu na matatizo yanayokabili muziki wetu wa hapa bongo,ki ukweli nilipenda the way sugu was expresing his views on how local artists wanavyokosa heshima na kutothaminiwa na our local promoters when comes to big events.

Alisema its a shame for a local musician kupewa dakika 5 kuperform kwenye show kubwa while the artist comes from abroad anapewa more than an hour for the show.Hii inachangia kuua wasanii wetu na kuwafanya wapotee kwenye ramani ya muziki mapema sana.msanii wa nje analipwa dola 60,000 wakati wasanii local wanalipwa laki 3 hii ni aibu na fedheha kubwa.

its a time to make the changes maana hata wasanii wetu wa siku hizi wamekuwa wakitoa single just to be listed for fiesta concerts au other big festivals rather than making hits for the success of their music.

ITS TIME TO MAKE THE CHANGES AND OUR LOCAL ARTISTS TO CHANGE THE WAY THEY DO MUSIC SO THAT THEY CAN BE ABLE TO COMPETE WITH OTHER BIG ARTISTS LIKE CHAMELIONE,BEBE COOL,BLU 3 WHO ARE NOW ABLE TO DO HIT THE FOREIGN MARKET FOR THEIR BEST MUSICS.

HUU NI MTAZAMO WANGU...

No comments: