
Kitaani volume 1, ni mixtape iliyosheheni wasani wakali kama Fid Q, Jay Moe, Chidi Beenz, Witness, Solo Thang na wengine wengi wakali toka Lebo ya M LAB iliyopo kinondoni mitaa ya Biafra.Compilation cd hiyo kali inapatikana kupitia
+255 714 884342.
CD inauzwa sh 5,000/=
Lets support this project.
Pamoja sana.
No comments:
Post a Comment