
KIJANA WA MMILIKI WA LEBO YA BAD BOY ENTERTAINMENT SEAN COMBS ANAYEITWA JUSTIN,HAPA ILIKUWA KWENYE PATI ALIOFANYIWA NA BABA YAKE...ACCORDING TO EONLINE THE PARTY WAS HOT...HE WAS CELEBRATING 16TH BIRTHDAY

PUFFY COMBS AKIWA NA MWANAE JUSTIN KWENYE PARTY YAKE YA KUZALIWA

HII NI GARI AINA YA SEDAN YENYE THAMANI YA DOLA $ 360,000 AMBAYO SEAN COMBS KAMZAWADIA MWANAE KAMA ZAWADI YAKE YA BIRTHDAY...MMH ITS SO NICE
PIX AND INFO TOKA BLOG YA BEST WANGU TK mtembelee www.total-knockout.blogspot.com
1 comment:
Correction.....
Hiyo gari haiitwi Sedan...That is Maybach 62,kaka!Sedan ni type of a car - ni kama ukisema Land Rover Station Wagon or SL63 AMG Coupe!
Gwan!
Post a Comment