Monday, January 25, 2010

MAC TEMBA AKABIDHI ZAWADI.....EDITOR WA BLOG HII AKIMKABIDHI KIJANA GOODLUCK WAMBURA AKA MZEE WA FLASH AKA BWANA HARUSI MTARAJIWA PICHA AMBAYO AMEPIGA NA MCHUMBA WAKE MTARAJIWA ILI KUTHIBITISHI HILI NDIO CHAGUA LAKE NA VIJANA WAKAE MKAO WA KULA PILAU SOON...KWA HABARI NYEPESI VIKAO VINAANZA MWISHO WA MWEZI HUU MITAA YA KINONDONI STAY TUNED FOR MO NEWS IN YOUR HOTTEST BLOG

PAMOJA DAIMA ...FITNA KAMA KAWAIDA.....

No comments: