Monday, January 04, 2010

PRESIDENT JACOB ZUMA WEDDINGRAIS WA AFRIKA KUSINI MH JACOB ZUMA JANA ALIOA MKE WAKE WA TANO KATIKA HARUSI YA KIMILA ILIYOFANYIKA KATIKA JIMBO LA KWA ZULU NATAL,ZUMA ALIMUOA TOBEKA MADIBA AMBAYE ANAKUWA MKE WAKE WQ TANO.

No comments: