Wednesday, December 23, 2009

UNAWAKUMBUKA HAWA....SEWA SIDE!!!


Bekka aa Pablo akiwa na swahiba wake Calvin aka Gang Putto hawa walikuwa ma mc wa kwanza kabisa kubeba jahazi la Sewa side togetha with man Ayoub aka Chura,Semwenda majollo aka Mwenda boy,Dickie Chain,na wengine wengi....Sewa side ndio chimbuko la Daz Nundaz family.

No comments: