Wednesday, December 23, 2009

IM MISSING THIS CREW...DAZ NUNDAZ


Hii picha inanikumbusha mambo mengi sana ya kihistoria,album ya feroos ya Safari na Daz Baba Nipe 5 (SAFARI YA NIPE 5)sidhani kama itapatikana picha nyingine kama hii ya vinara hawa wa Daz nundaz family baada ya kila mmoja kumdiss mwenzake na kuwa maadui while kwenye single yao ya Jahazi walituambia kwenye mistari kuwa "Kutengana kwao ni kama ndoto na wanavyoishi ni kama mapacha".Sameheaneni na mrudi na DAZ NUNDAZ

No comments: