Tuesday, December 22, 2009

NONDOZ.....


Ooh my Lord thanks so much for this year 2009,ki ukweli namsukuru mungu sana kwa mwaka huu ulio na rehema na baraka nyingi sana zisizoweza kusimulika ,nimeweza kuoa February,Kupata mtoto wangu kipenzi samantha mwezi wa sita,na finally kupata Degree yangu ya HRM pale chuoni Institute of Social work(ISW)

Thanks to my God,my family especially my wife Zhane aka Tamary pamoja na wazazi wangu wa pande zote....Mungu ni mwema sana.

No comments: