Wednesday, November 25, 2009

SUGU NDANI YA VETO DECEMBER 24MWANA HIP HOP MKONGWE ANAYEFANYA SHUGHULI ZAKE USA,CHRISTOPHER MBILINYI AKA MR 2 ANATARAJIA KUFANYA UZINDUZI MKUBWA KATIKA UKUMBI WA DIAMOND JUBILEE TAREHE 24 DESEMBA,NA SASA AMEACHIA VIDEO YAKE KALI ALIYOMSHIRIKISHA DA STARA THOMAS...WIMBO UNAITWA MCHAKA MCHAKA CHECK OUT THE VIDEO IN OUR LOCAL TV ILI UJIONEE UTOFAUTI WA KAZI NA KIWANGO CHA MTU MZIMA SUGU

PAMOJA SUGU COME N SHOW THEM YOU CAN....

No comments: