Wednesday, November 25, 2009

HBC KWELI ONE LOVE AU ............KATIKA TAMASHA LA FIESTA JUMAMOSI HILI KUNDI LA HBC(NIGGA J,BIG WILLIE,FANANI)NILIPATA AHUENI NA KUPATA FARAJA KUWA SASA UPENDO UMERUDI KWA WASANII WETU...HILI NI KUNDI AMBALO LILIFANIKIWA KULETA MAPINDUZI MAKUBWA KATIKA MUZIKI HUU,HUU NI WAKATI WA PROF J KULIONA HILI NA KUKAA CHINI NA HAO MEMBA WENZAKE KUWAPA WAPENZI WAO ZAWADI YA HBC ALBAMU.

HUU NI MTAZAMO WANGU NA WALA MTU ASIJENGE CHUKI.

No comments: