Wednesday, November 18, 2009

HII NI AIBU KWA THIERY HENRY!!!Kwa jinsi mechi ilivyokuwa usiku wa jana Timu ya taifa ufaransa ilibanwa sana na kwa kila hali Timu ya Ireland ilistahili ushindi...kitendo kile kilichofanywa na mchezaji ninayemheshimu kama Thiery henry kweli kimenisikitisha na kumuona kama msaliti wa maendeleo ya soka la dunia.

Ni aibu sana kwa henry na Timu nzima ya Ufaransa,na lawama kubwa iende kwa refa ambaye aliamua kipindi cha pili kufanya kila kitu kuisaidia Ufaransa kupata ushindi.

No comments: