Monday, November 23, 2009

CHID BENZ AKAMUA SANA FIESTA 2009Kiongozi wa Kundi la La Familia la Ilala Chidi Benz akikamua jukwaani akiwa pamoja na Chiku Ketto katika Tamasha la Fiesta pale katika viwanja vya posta- Kijitonyama.

Je Chid benz kajipangaje ili kuweza kufika level za nje kama Msanii AY aka Amwene Yesaya???Je sifa za hapa Bongo na Kusifiwa hapa Kibongo bongo na mashabiki na waandishi wa habari zinatosha???Natumai huu ni wakati mzuri kwake kutafuta management nzuri ili aweze kupata exposure ya nje ili kuweza kujijenga zaidi na kuwa msanii mkubwa mpaka nje ya mipaka ya nchi yetu.

Huu ni mtazamo wangu,wala usijenge chuki...ni hayo.....

No comments: