Saturday, June 13, 2009

OOH GOD THANK YOU SO MUCH!!!

Pichani hapo chini ni Mke wangu Zai aka Tamary akiwa na princess wetu

Jumamosi tarehe 13 juni,2009 saa 3;45 asubuhi mke wangu mpendwa alijifungua mtoto wa mzuri wa kike wa kwanza katika familia yangu...namshukuru mungu sana kwani mama na mtoto wapo na afya njema,mtoto alizaliwa kwa operesheni na ana uzito wa kilo 4.5

mungu awabariki wote mliotuombea kwa mungu na mungu awazidishie.

Big up kwa marafiki wetu wote....najua wadau mna hamu ya picha nyingi soon zinakuja.

16 comments:

Anonymous said...

Hongereni sana sana wazazi kwa kupata a cute baby girl. Inafurahisha sana first girl akiwa wa kike. Mungu amlinde akue salama awe na nguvu na afya njema.

kulminar said...

jamani zaina... am so happy for you, daaah ka baby chako kashuna, najua tu hakosi macho yako. miss you sana, wish you te best,kulungu

mumyhery said...

Hongera baba na mama, mtoto tunamtakia afya njema, akue upesi,awe na akili shuleni

Candy1 said...

Oh wow I just saw your wedding pictures and nikaona nikutembelee humu kijijini kwako.

Anyway many congratulations to you and your wife!! The baby is toooo cute!!lol

Anonymous said...

hongera mtoto mcute sana anaitwa nani

Manka said...

Hongereni sana,tunamtakia mama na mtoto afya njema,!!!!!!!!!!

Anonymous said...

bro,am so happi 4 u n zai jamani,cant wait to be home and spoil the baby..love u both kiss the princess 4 me plz! seka

Anonymous said...

EHEEE HONGERENI SANA
MR&MRS EDWIN TEMBA
JAMANI NIMEFURAHI SANA KUWAONA KAMA MMEPATA MTOTO
MTOTO MZURI SANA
ZAI NA EDWIN NAWAPENDA SANA .MUNGU AWABARIKI .NA NIMEWA MISS SANA
ITS ME.MRS RESTINA MACHOTA MUNGASI
AU MAMA SUE, MAMA BLANDY

Anonymous said...

waw hongeren sanaaaaa,Mungu aendelee kuwabariki,love Aziza

Jigga Jr said...

Bravo Brother!!! congratulations for a baby gal, plz show us some more pictures!!!
from Jigga Jr

Anonymous said...

HONGERENI KWA KUPATA MTOTO, HIO NI BARAKA KUTOKA KWA MUNGU. MAY THE ALMIGHTY SHOWER YOUR LITTLE PRINCESS WILL HIS BLESSINGS ALWAYS

Anonymous said...

Hongera sana Edwin na Zainab.
Fred

Anonymous said...

wow! such a cute baby,keep it up we need more!!!!Good luck brother and hope to see the gal soon.

PDK

Anonymous said...

Mbona mtoto mwarabu?usitutanie.

Anonymous said...

jamani hongereni saaaaaaaaaaaaana
kwanza kwa kufunga ndoa pili kupata mtoto.nawatakia kila la kheri mungu awaongoze.

Gertrude

pm said...

HOngereni sanaaaaaaa jamani Mungu Amkuze baby wenu...Sorry kwa kuwarudisha nyuma but Zainab nilisoma nae Zanaki alikuwa anaitwa Zainab Juma je amebadili dini au as naona kama jina nw sehemu nyingine wamemwita Tamary,na bwana harusi hope ni purely christian Chaga....