Thursday, May 21, 2009

UNAKUMBUKA ENZI ZAO HAWA....DAZ NUNDAZ

Hizi zilikuwa enzi za mafanikio makubwa ya vijana hawa wa Sinza wa Familia ya Daz Nundaz,hawa ni Feroos na Daz baba wakiwa wamepozi,nowadays hawaongei na amani haipo tena.

1 comment:

r i killer said...

Aissi, hawa jamaa wange ungana tena. maana ilikuwa nibalaa!!!!!!!
me binafsi nilikuwa nawaita wazee wa kunu`ngunika. yaaani we acha 2.
kwa ss si mnaona walivyo poteaaa.
By RI Killer