Friday, February 06, 2009

NAMBA 10 MTAAANI WIKI IJAYO!!!

Lile jarida la michezo na burudani la Namba 10 litaingia mtaani wiki ijayo...Gazeti hili huandikwa na vijana mahiri katika mambo na habari za burudani kama Striker Shafii Dauda,Ibrahim maestro na wengine wengi...Hakikisha hukosi nakala yako ya Gazeti hili bomba.

Lets support the Tanzanians Products.

No comments: