Friday, February 06, 2009

KILA LA KHERI BUSHOKE...IN MWANZA

Huyu ni msanii pekee ambaye Rais Kikwete alitamka wazi kuwa ndiye msanii wake bora kuliko wote...baada ya mizengwe mingi baada ya kuwa kimya sana nimefurahi sana kwa ujio mpya wa kijana huyu katika tasnia ya muziki wetu...Big up to kaka Tippo wa Zizzou Entertainment na Saleh Ally wa Mwanaspoti kwa kumpa tafu kijana huyu wa Makole Dodoma...Life is what u make it, keep it real Bushoke.Bushoke na wasanii kadhaa kama Chid Benz,mr Blu,Maunda Zorro na wengine wengi wanategemea kufanya show Mwanza wikiend hii tarehe 7 na 8 february,2009.

Lets support Bushoke tununue album yake.No comments: