Tuesday, January 27, 2009

2009...NI ZAMU YANGU SASA!!!

Hey wadau wangu!!!

Nategemea kuoa tarehe 14.03.2009,hivyo naombeni support yenu ili kufanikisha jukumu hili,vikao vimeanza na kikao kijacho ni terehe 1.02.2009 pale Sinza- Mori Hill Garden Park (Contena mbili) Muda ni saa kumi jioni...

Kwa mawasiliano please contact me on 0715 000 890,nitashukuru kupata msaada wenu.


wenu mdau,

Edwin Mac Temba

The Editor of www.mactemba.blogspot.com

1 comment:

Anonymous said...

HONGERA NA KARIBU SANA KWENYE CHAMA. MWENYEZI MNGU AKUTANGULIE UFANIKISHE.

NI BORA UMEAMUA JAMBO LA HERI KULIKO KUCHEZEA WATOTO WA WATU NA KUWAACHA.

WAHAMASISHE NA WENZAKO BASI KAMA MDAU TEO JAMANI!!
KILA LA HERI!!!