Monday, August 11, 2008

YANGA YATOKA TUNDUNI...!!!


Ule msemo wa Chama chetu cha mapinduzi chajenga nchi ndio uliotumika jana kuijadili rufani ya Timu kubwa ya Soka hapa Tanzania bara YANGA AFRICAN SC....Kamati ya nidhamu ya TFF baada ya kuwahoji viongozi wa timu ya Yanga Africa na Katibu mkuu wa TFF jana kwa masaa saba...wameamua kuifungulia Yanga ishiriki michuano ya kimataifa kama kawa...Hii inadhibitisha usemi kuwa Yanga ndio mpira wa Bongo na wanaijua fitina ya Soka la Bongo...Big up wana Yanga (Gang Chomba wa Kibamba wa wote wadau wa Yanga Africa ....

Nipe maoni yako!!!

1 comment:

Anonymous said...

ebana hao yanga walinibore kuliko kitu chochote duniani kwann wawaogope wenzao?