Monday, August 11, 2008

MISS REDDS ABWAGA ULAJI...


Mrembo Angela Lubala katika hali ya kushangaza amebwaga ubalozi wa Kinywaji cha Redds eti kwa sababu anasema itakinzana na imani yake ya kidini..Kwangu mimi mtazamo wangu ni kinyume kidogo,swali langu ni wakati mashindano yanafanyika kule mwanza huyo mremba hakuomba ushauri na kufikiri kuhusu shndano hilo???au nini chanzo na kilicho chini yakapeti????Najua sababu itapatikana huko mbeleni ngoja tusikilizie taarifa kutoka wa Meneja wa redds Bw. kavishe.......Je nini maoni yako wewe juu ya jambo hili????

No comments: