Thursday, April 03, 2008

WAZEE WA DAR MPAKA MORO-TMK FAMILY

Hawa ni Wanaume Family aka Wazee wa Dar mpaka Moro,kutoka kushoto Mh Temba(wajina wangu),Chegge Chigunda,Yp,Kr mulla Jibaba,na wengine wao siku ya mkutano wa waandishi wa habari pale Habari maelezo...Big Up Guys Tunategemea makamuzi ya hatari...

1 comment:

Anonymous said...

yeaaa yeea dar mpaka moro ile ile hao wanaojiita halisi kiama chao tarehe 11 ...likipigwa dar mpaka moro ndo final yao... hawana jipya