Thursday, April 03, 2008

PLANET BONGO UNLEASH PROF JAY THIS FRIDAY!!!

Profesa wa muziki wa Hip hop Joseph Haule akiwaeleza waandishi wa habari jinsi mapambano yanavyoendelea kuufanya muziki wa Hip- hop kuendelea kupata mafanikio na heshima katika jamii ya Tanzania,Prof Jay alisema" wana Hip hop sio wahuni ila kuna wahuni wachache wanaofanya hip hop'"...Thats true hommie...Aluta Continua na Mapambano yaendelee!!!

No comments: