Wednesday, April 02, 2008

PAMOJA NA MIZENGWE FEISAL NI MKALI BSS-2008

Anaitwa Feisal Esmail mmoja kati ya washiriki wa Bongo Star Search mwaka huu,ana kipaji kubwa cha kuimba na kufoka foka(Rapping) Lakini mizengwe ndio iliyotumika kumfanya ashindwe katika shindano hilo la BSS.

No comments: