Wednesday, April 02, 2008

KP

Kipanya anajiuliza eti wale walioshindwa majukumu yao ya mwanzo wanawezaje kupewa majukumu ya kuongoza kamati za Bunge???Duu hii ni Hatari maybe kufanyakosa so kosa ila kosa kurudia kosa wahenga wetu walilongaga miaka ile....Kipanya i like ya sometimes mambo mengine huwa yanakosaga maibu its true!!!

No comments: