Tuesday, April 01, 2008

FM ACADEMIA NI TALK OF THE TOWN!!!Wanaitwa Fm Akademia aka Wazee wa Ngwasuma ni wakali wa sebene na live show katika nchi yetu ya Tanzania anayebisha ahudhurie Jumamosi yeyote kwenye Ukumbi wa Makumbusho au Jumapili kwenye Bonanza la Kijanja ndani ya Msasani Club maeneo ya Drive Inn karibu na Ubalozi wa Marekani...Ucipime njoo uone watu wanavyotomboka na Ma sebene ya kufa mtu hatari!!!

No comments: